Precious Leaders Secondary School
Angalia Salio la Ada
ya Mwanao — Papo Hapo
Weka ID ya mwanafunzi kuona historia kamili ya malipo, salio la kila term, na kupakia payslip yako moja kwa moja.
ID inapatikana kwenye kadi ya mwanafunzi au risiti za awali.
Kwa Nini Mfumo Huu?
Rahisi, haraka, na wa kuaminika kwa wazazi.
Historia Kamili
Ona malipo yote ya mwanao tangu alipoanza shule, term kwa term.
Pakia Payslip
Tuma payslip yako moja kwa moja — muhasibu atathibitisha.
Salama
Taarifa zinaonekana kwa ID pekee — faragha inalindwa.